Wednesday, October 10, 2012

Tunadesign ramani za nyumba kwa majengo ya aina mbalimbali
kwa mawasiliano zaidi piga namba 0767 455 142 leo upate
 ulichokitegemea na uandae maisha mengine yajayo
wewe na familia yako.







web logo


Sunday, September 16, 2012

Shughuli ninazozifanya nikiwa ofisini

Ninafanya shughuli zangu za kikazi za kujiajiri mwenyewe kila siku nafanya shughuli za ndani ya ofisi na nje ya ofisi kwa mahitaji yako ya kutengenezewa Computer, Huduma za Network, Internet Design, Kuchora ramani za nyumba na vipimo mbalimbali katika Mwonekano wowote kawaida, na utaweza jenga nyumba yako vizuri wasiliana nami nitakufikia ulipo.na katika upakaji wa rangi ni Design mzuri wa Rangi za aina mbalimbali.
hii ni blog ya vijana ambayo inahusu maendeleo, sote tunajua kuwa yatupasa kila mtu awe na maendeleo na aweze kujiajiri yeye mwenyewe ili aweze kupata kipato